Lisa Pitkin - Jina Lako Lyrics & Audio

Lisa Pitkin - Jina Lako Lyrics & Audio

Nani aliye kama wewe mwokozi Yesu
Hakuna nguvu kama zako, wewe utuongoza..

Hakuna mwingine anastahili sifa zetu, hakuna jina lina okowa ila Lako

Nashukuru dhabihu ya ibaada yako
Nashukuru upendo wako

Nainua Jina Lako
Nainua Jina Lako Yesu (x2)
Jina Lako (x3)
Nainua Jina Lako

Nashukuru dhabihu ya ibaada Yako
Nashukuru neema yako

Nainua Jina Lako
Nainua Jina Lako Yesu (x2)
Jina Lako
Nainua Jina Lako (x3)
Jina la uwokovu,
Jina la ushindi
Jina la upendo
Jina la uwezo
Jina la Ufalme
Jina lenye nguvu
Jina

Jina la miujiza
Jina lenye nguvu
Jina lako Yesu, ni Jina la utukufu
Jina la mfalme
Jina la neema
Jina

Nainua Jina lako
Nainua Jina lako Yesu (x3)

There is no other name that saves (x2)
No other name that saves

DOWNLOAD MP3 NOW!

"Jina Lako" Lyrics & Mp3 Download by Lisa Pitkin

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post